Warumi 5:3

"Tulielezea jinsi madini ya almasi yalivyoumbwa kutokana na mbinyo kutoka pande sote hadi utakapopata kitu kipya cha thamani baada ya kipindi kirefu kama vile hiyo almasi au mkaa wa mawe na hata dhahabu."

Mwito – 381

Mwito – 414

Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu.,lakini yerye aliyenipeleka ni kweli,nami niliyoyasikia kwake ndiyo ninenayo ktika ulimwengu.Wala hawakutambua ya kuwa anawatajia Baba..Basi Yesu akawaambia mtakapokuwa mmekwisha kumwinua mwana wa adamu,ndipo mtakapofahamu kuwa mimi ndiye;na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu,ila kama Baba alivyonifundisha ,ndivyo ninenavyo.

Warumi 6:23

Warumi 8:18

Mwito – 365

Mwito – 397

Warumi 5:19

Mpendwa tunaendelea na somo letu ,ambapo tunakaribia kumaliza aya ya 5.Na kwa sasa ningependa niseme somo hili limekuwa la kuridhisha na la kufahamisha mengi.

Warumi 7:23-25

Warumi 8:29

Mwito – 415

Karibu tena ndugu msikilizaji wangu kusikiliza kipindi cha MWITO.Makala ya leo ni nambari 415.Tunaendelea na mfundisho yetu kutoka injili ya Yohane.Ikiwa hukuwa nasi kwenye kipindi kilichopita nambari 414 naomba nikupatie tu muhtasari wa yale tuliozungumzia.Tulisoma katika sura ya 9 ya injili ya Yohana aya ya 26

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.