Kila mmoja wetu hutamani sana kuwa na hali ya Amani kati yetu na mwenyezi Mungu dini nyingi duniani zimejaribu hayo lakini njia na taratibu zao hukwama njiani twawezaje kupata Amani? Kutoka kwa mwenyezi mungu.
Wahenga hata wataalamu wa mashauri husema nakufundisha ya kwamba kablaya kufikia uamuzi wa aina iwayo yote tazama pande zote mbili au niseme tazama pande zote mbili maana hiyo ni busara na hekima usije kaanguka ndani ya shimo na kuhesabu hasara