Wakristo wa Yerusalemu walionea shauku wakristo wa korintho kwa upendo na ukarimu wao. Waliowaombea na kumshukuru Mungu. Na hiyo ndiyo ahadi ya utoaji kwa ukarimu ukifanya hicyo watamtamani na hata kutilia maanani Imani yao katika Kristo bwana na mwokozi wetu. Mungu ndiye anayetuahidi hayo.
kunazo dini nyingi sana duniani na kila dini huwa na mafundisho yake na kila dini hufuata njia za kumfikia munguTwaamini kunayo mbinguni na mwenyezi mungu ndiye mwenyeji na kwasababu yeye si mchoyo ametupatia njia inayotuelekeza huko aliko na hiyo njia ni kuupokea ukweli wa injili ya bwana wetu yesu kristo