Kila mmoja wetu hutamani sana kuwa na hali ya Amani kati yetu na mwenyezi Mungu dini nyingi duniani zimejaribu hayo lakini njia na taratibu zao hukwama njiani twawezaje kupata Amani? Kutoka kwa mwenyezi mungu.
Katika historia twasoma watu waliokuwa tofauti kwa sababu maalum. Ibrahimu alikuwa mmoja wao. Aliisikia sauti ya mungu na kwa Imani akaitii. Hali kadhalika na musa ayabadilisha historia ya waisraeli kwa sababu alipenda kuyafuata na kuyazingatia maagizo ya mwenyezi mungu kwa baadhi ya watu, Paulo aliwakasirisha yeye pia alikasirishwa na baadhi ya watu. Wengine walimwona Paulo kama mtu wa kuleta mapinduzi kuubadilisha hata ulimwenguKwa baadhi ya watu hata waleo hukumbuka san ahata wakisoma nyaraka zake Paulo kilichomfanya Paulo tofauti,