Wakristo wa Yerusalemu walionea shauku wakristo wa korintho kwa upendo na ukarimu wao. Waliowaombea na kumshukuru Mungu. Na hiyo ndiyo ahadi ya utoaji kwa ukarimu ukifanya hicyo watamtamani na hata kutilia maanani Imani yao katika Kristo bwana na mwokozi wetu. Mungu ndiye anayetuahidi hayo.
Kwanini ibrahimu alijulikana sana katika historia ya biblia? Jibu ni kwamba ibrahimu alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa Imani na ndiye baba yetu. Lakini mtume Paulo amwonaje ibrahimu?
Namna ya kujiandaa kushiriki “Meza ya Bwana”. Madhehebu tofauti ya Kikristo hushiriki katika “Meza ya Bwana”; siku tofauti kila juma, zingine kuandaa Meza ya Bwana, mara kadha kila mwezi. La muhimu ni kujua na kukumbuka ya kwamba katika “meza ya Bwana,” sisi huadhimisha kifo na kufufuka kwake Yesu Kristo. Bwana wetu Yesu Kristo yu hai.