muhtasari

Ingelikuwa namna gani kukutana na Yesu na kumwona akiponya wagonjwa, akituliza dhoruba na kufufua wafu? Yesu alifanya miujiza mikubwa na tunaweza kujifunza kutokana nazo kwamba Yeye yu mwenye nguvu,bali pia ni mwenye upendo na huruma. Yeye hujali matatizo ya maisha yetu,na ana uwezo wa kutuokoa,kutusamehe na kutusaidia.

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.