Mitindo ya Fasihi katika Biblia
Simulizi ya Biblia
Video hii inatoa muhtasari wa simulizi ya Biblia kama mfululizo wa maamuzi makubwa na ya muhimu. Binadamu huendelea kujifafanulia upya mema na mabaya, jambo linaloishia katika maumivu na kuishia uhamishoni. Kisha anafuata Yesu, anayechukua njia tofauti inayofungua njia ya uumbaji mpya. #bibleproject #Biblia #nameofvideo
Biblia ni nini?
Hii ni sehemu ya kwanza ya mfululizo unaoendelea unaochunguza chanzo, maudhui, na kusudi la Biblia. Hapa utatambulishwa kwenye historia fupi ya jinsi Biblia ilivyoumbwa na aina tofauti za Biblia katika mila za Kikristo za Katoliki, Kiorthodoksi, na Kiprotestanti.#bibleproject #Biblia #Biblianinini
Injili ya Luka Sura ya 9-19
Sehemu ya tatu inaangazia sehemu ya katikati ya Injili ya Luka. Yesu anaendelea na tangazo lake tatanishi la habari njema kwa maskini akiwa kwenye safari ndefu ya kuelekea Yerusalemu, tangazo linalochochea mgogoro na viongozi wa dini. Mgogoro huu unatengeneza mazingira ya kusimulia simulizi maarufu ya Mwana mpotevu. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Luka
Injili ya Luka Sura ya 3-9
Ya pili katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunamwona Yesu akianzinsha utume wake wa habari njema kwa maskini na jinsi alivyowaleta watu wa aina mbalimbali kuishi pamoja kwa amani. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Luka
Kuzaliwa kwa Yesu – Injili ya Luka Sura ya 1-2
Ya kwanza katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunaangazia matukio ya kuvutia kuhusu kuzaliwa kwa Yesu. Hali duni ya familia yake na hadhi yao ya chini katika jamii ya Israeli zinatabiri ufalme wa Yesu ulivyokuwa kinyume na matarajio. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Luka

Agape - Upendo
Neno “upendo” ni mojawapo ya maneno mazito zaidi katika lugha yetu, kwa kuwa kimsingi hurejelea hisia zinazozaliwa ndani ya mtu. Katika Agano Jipya, “upendo” au "Agape" humaanisha njia ya kuwatendea watu iliyofafanuliwa na Yesu mwenyewe: kutafuta ustawi wa wengine bila kujali wataitika vipi au watakutendeaje wewe. #BibleProject #Biblia #Upendo Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA
Chara - Furaha
Katika video hii, tutazungumzia aina ya kipekee ya furaha ambayo watu wa Mungu wameitwa kuwa nayo. Ni zaidi ya hisia ya furaha, kinyume na hapo ni uamuzi wa kuamini kuwa Mungu atatimiza ahadi zake. #BibleProject #Biblia #Furaha