Sitiari katika Mashairi ya Kibiblia
Ufundi ya Mashairi ya Kibiblia
Je, unajua kwamba theluthi moja ya Biblia ni mashairi ya Israeli ya kale? Mashairi ni sanaa tajiri inayotumika na binadamu kufanya mawasiliano, lakini mara nyingi ni vigumu kuelewa mashairi. Katika video hii, tutachunguza sifa za kipekee za mashairi ya kibiblia ili uweze kugundua uzuri na nguvu zake mwenyewe. #bibleproject #Biblia #nameofvideo
Mitindo ya Fasihi katika Biblia
Sehemu ya tatu inaonyesha jinsi kusoma Biblia kwa hekima kunatuhitaji kujifunza kuhusu mitindo ya fasihi ya kale iliyotumiwa na waandishi wa kibiblia. Waandishi hawa walielezea mawazo na madai yao kwa aina tofauti za fasihi, na video hii itachunguza kwa nini ni muhimu kutambua aina hizo ili tuweze kusikia ujumbe wao kwa mujibu wa walichokusudia wao. #bibleproject #Biblia #nameofvideo
Simulizi ya Biblia
Video hii inatoa muhtasari wa simulizi ya Biblia kama mfululizo wa maamuzi makubwa na ya muhimu. Binadamu huendelea kujifafanulia upya mema na mabaya, jambo linaloishia katika maumivu na kuishia uhamishoni. Kisha anafuata Yesu, anayechukua njia tofauti inayofungua njia ya uumbaji mpya. #bibleproject #Biblia #nameofvideo
Biblia ni nini?
Hii ni sehemu ya kwanza ya mfululizo unaoendelea unaochunguza chanzo, maudhui, na kusudi la Biblia. Hapa utatambulishwa kwenye historia fupi ya jinsi Biblia ilivyoumbwa na aina tofauti za Biblia katika mila za Kikristo za Katoliki, Kiorthodoksi, na Kiprotestanti.#bibleproject #Biblia #Biblianinini
Injili ya Luka Sura ya 9-19
Sehemu ya tatu inaangazia sehemu ya katikati ya Injili ya Luka. Yesu anaendelea na tangazo lake tatanishi la habari njema kwa maskini akiwa kwenye safari ndefu ya kuelekea Yerusalemu, tangazo linalochochea mgogoro na viongozi wa dini. Mgogoro huu unatengeneza mazingira ya kusimulia simulizi maarufu ya Mwana mpotevu. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Luka
Injili ya Luka Sura ya 3-9
Ya pili katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunamwona Yesu akianzinsha utume wake wa habari njema kwa maskini na jinsi alivyowaleta watu wa aina mbalimbali kuishi pamoja kwa amani. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Luka
Kuzaliwa kwa Yesu – Injili ya Luka Sura ya 1-2
Ya kwanza katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunaangazia matukio ya kuvutia kuhusu kuzaliwa kwa Yesu. Hali duni ya familia yake na hadhi yao ya chini katika jamii ya Israeli zinatabiri ufalme wa Yesu ulivyokuwa kinyume na matarajio. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Luka